Thursday, June 3, 2010

ANTIVIRUS ALBUM ON THE WAY!!!!

Elimu kwa sanaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!

Antivirus ni project ya mashambulizi mwanzo mwisho, itafanya kazi kwa mtindo wa mixtapes, yaani kurekodi nyimbo kwenye instruments maarufu za kiwanja, halafu ngoma zinawekwa pamoja halafu zinagawiwa bure kwa Watanzania na kazi itasajiliwa na COSOTA. Kila msanii ataimba topic yake kuhusu Antivirus, yaani atagonga jiwe lake kwa kutaja majina wahusika wa unyonyaji wa muziki wetu.


Mkongwe wa Bongo Hip Hop, Joseph Mbilinyi 'Mr. II' a.k.a 'Sugu' amesema Project hiyo inahusu mapinduzi, inanyoosha ukweli kwa vipimo vyake, inawagonga fatuma wezi wote waliohusika kuihujumu Bongo Fleva na inatangaza vita kwa yeyote mwenye shida ya ubaya dhidi ya wanamuziki wataka haki.
Baadhi ya Ma-supastaaa watakaokuwemo kwenye project hiyo ni Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’, Suleiman Msindi ‘Afande Sele’, G Solo na wengine kibaoooooooo.
KAZENI BUTI WASANII MLE JASHO LENU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment