Friday, June 4, 2010

UDZUNGWA MOUNTAINS COLLEGE TRUST


Wengine wanatembea sisi tunakimbia.

Udzungwa ni chuo cha kijaasiriamali na kinachofundishwa na wazalendo waliobobea katika fani husika.

Chuo hiki kinatoa kozi kama;
-Certificate and Diploma in Hotel Management
-Certificate in Early Childhood Department
-Communication Skills ( English, French, Spanish and Swahili for Foreigners)
-Certificate and Diploma in Tourism
-Certificate and Diploma in Tour Guide and Driving
-Certificate and Diploma in Business Admistration
-Certificate and Diploma in Journalism.

Kwa kozi zote wanafunzi hujiunga na sehemu mbalimbali kwa ajili ya vitendo mfano hifadhi za taifa, hotel kubwa, Vituo vya Radio na Television,shule zenye viwango na pia hufanya safari za sehemu mbalimbali kwa ajili ya mafunzo zaidi.




Baahi ya wanafunzi wa udzungwa katika fani ya uandishi na utangazaji (certificate and Diploma)

Chuo kipo Moshi mjini mkabala na maktaba ya Kanisa la Katoliki la Kristo mfalme au kama uwezi kufika kwa mawasiliano zaidi ni +255 784 815 517 au +255 784 473 475 au kwa barua pepe ya udzungwamountaincollege@yahoo.com.

Fomu za kujiunga na masomo zinapatikana Moshi Fm Radio, Chuoni udzungwa na wewe uliye mbali piga simu ujulishwe kwa kupata fomu kwa shilingi 5000/=. Kwa wale wanaotoka mbali zipo hostel kwa ajili ya kulala. Jiunge wakati wowote kwani masomo yanaendelea.

Kwa maelezo zaidi ya haya wasiliana au fika Udzugwa.

WAHI MAPEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!









No comments:

Post a Comment