Wednesday, June 2, 2010

CREAM YA MOSHI FM (JANA,JUZI NA LEO)


Mishostisto ya Moshi Fm imejiachia, Yaaaaani!Glory Mushi mtoto wa Kichaga toka bwani aliyekaa juu ya meza ni Fundi mitambo hapa radio moshi fm na yekaa kwa pozi la huzuni mmmh sijui kaach....! ni Mary Ringo mtoto wa kioldi moshi ni sekretary wa mosshi fm.
Mkundiye shonga!!!!!!!!!!!!!!!!!!





Papa bureta ukipenda Victor Bureta, ni suku wa Moshi Fm. Mchizi anafagilia sana sebene.
Sukari, asali,Tafadhali aaaaah.....!!!!!!









Shukrani ni jambo muhimu sana katika maisha ya sasa ili uweze kufanikiwa. Kubali kataa unaposaidiwa kutoka katika giza mpaka kwenye mwanga wenye afadhali ili uone njia toa asante. Kulia ni Mzeiyaaa na Kushoto ni ABDALLAH HUSSEIN MRIMBO “DULLAH” a. k. a THE MASTER VOICE ni broad mwenye historia kubwa haswa kwa kuanzisha na kuziendeleza radio nyingi za Fm na kuwasaidia watangazaji wengi saaaaanaaaa kuwa watangazaji. Binafsi nakubali sijui wewe!!!!!!!!!!. Thanks a lot Broda, God bless you.








Safari yake ni ndefu saaaana katika kazi hii. Kwa mara ya kwanza nilimsikia KIBO FM kwa jina la “Shanny Bonge”. Nilimeet naye Moshi Fm kama mfanyakazi mwenzangu. SHANNY JOHN MWAKISOMBOLE a.k.a Wifi ,binafsi na mkubali na sauti yake tofauti na kuitwa mwanamke. Kwa sasa anafanya kazi pande zingine. WHEN ONE DOOR CLOSED OTHER DOOR OPEN.






Kushoto ni Warren Shaween (mwenye miwani na mwenye Tshirt nyeusi). Dogo ambaye hufanya kazi zake kwa kujiamini mno haswa ni mtu wakuchimba mavituz. Tuligonga naye kazi kwa saaana. OTHER DOOR IS OPENING……Nakukumbuka sanaaaaaaaa!!!!



Huyo binti pekeee (aliyekaa na blauzi nyeusi) ni Hellen U. Msumba “Aunt yangu” kwa sasa yupo Capital Fm anagonga show moja inayojulikana kwa jina la RAHA LEO. Namwaminia mbaya mnoooo! Kamua shangazi upo juu kama obamaaa!!!.



Kijana aliyesimama Roadrivk Makundi,Mwonekano wake na maongezi humfanya aitwe pastor. Kijana mtanashati na mchapa kazi mwenye elimu safi juu ya kazi yake, anakandamiza maswala ya habari sana ndani ya Moshi Fm na ni mwandishi wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo. Msikilize kwenye Tanzania wiki hii kila J2 kuanzia saa 12 jioni na pia hugonga show ya kiafrika “Tamba afrika”. Unafanya balaaaaaa!!!!!!!!






Regina Tito anatoka jimbo la Rombo. Alipiga kitabu pande za kwa “Mwaikibaki” Kenya. Naye anasongesha pande hizi za Moshi fm. Thubutu kumsikiliza utafurahi.





Mtoto wa Kipare toka Mwembe (Sameeeee!!!),.Khadija Mrutu. Ana swaaga kama ya kusita hiviiii ila sijui, bofya redio yako 90.2 Moshi fm utamsikia. Erehowaaaaa…………..!!!!!!





Huyu jamaaa ndiye mchizi naayecheza na waya,kurekebisha mavituz yakufikie mwanana, namaaaanisha Fundi mitambo wa Moshi fm, Sir Oscar Uroki anatoka pande za uswaaa,machame!. Pia anagonga show moja ya kijanja inatambulika kwa jina la Sunday Request kila jumapili saa 6 mchana.
Usipime, Aikamayeeeee....!!!!!!!!!!!!!!!




Mchizi anatambulika kwa jina la “4real” au Faraji R. Mfinanga ni mpare wa kikavu pande za Moshi vijijini. Mtangazaji wa Moshi fm kiukweli yupo poa kunako kazi haswa anasimama kwenye dabwe’s kama Sunday Blaze,Magic Weekend,Chakarika na nyingine. Jaribu kumsikiliza,Avacheeeee Mbwangeeeee!!!!!!!!



















Neema Mkotya ni shosti wa kishua “mama wa kiduku” Unaloooooooo!!! Kama ulikuwa hujui, INA HU………!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Mwazime masikio yako kupitia Moshi fm 90.2 utamsikia.Dodoma mojaaaaaaaaa!!!!

















Ntoli Ezekiel Jeremiah Mayombola, Kijana mfupi mwenye mustachi na handsome, Kijana wa kipogoro. Kila J3 hadi Ijumaa katika kipindi cha Ukurasa wa leo utampenda haswa katika segment ya utabiri wa nyota, yaaaaani kamaaa.
Mga……!! Big up Broda. Nakuaminia!!!!!!!!!!!!!!!!!

















Huyu ni swahiba wangu wa karibu mno, wanamtambua kwa majina kama “mjukuu wa bibi pili” “Dj clever” au Dixon Busagaga. Mchizi namkubali si kitoto.. Bega kwa bega tunashirikiana naye kugonga show mbili matata kanda ya kaskazini THE BASE kila J3 hadi alhamisi kuanzia saa 8 mchana na MID-MORNING CRUZ kila J3 hadi Ijumaa kuanzia saa 2 asubuhi. Tumbukiza imani ndani ya moyo wako kwa haya ufungue 90.2 Moshi fm hutathubutu kupitwa.
Unatisha mwana!!!!!!!!!!!!!!!!!
















Kulia ni Asiah Msangi “mama wa mirindimo.Haloooooo!!!!!!!! na Mtoto wa pwani au mamaaaa wa pwani ndio jina analolitumia katika show yake inayoitwa RAHA KAMILI kila jumapili saa 8 mchana, hapa anagusa vile adimu vya pwani, INA HUU…...!!!!!!!!!!. Amina Mbwambo ndio jina lake halisi,Binafsi namkubali sana kwa uwezo wake.
ISIPONASA CHINI ITANASA JUU…………………………………………..!!!!!!!
KAMUENI NAHISI MNAWEZAAAA MBAYAAAAAA........................!!!!!!!


No comments:

Post a Comment