Monday, June 7, 2010

BRAZIL NA TAIFA STARS LEO




Hii ni bendera ya tanzania, nimeonyesha uzalendo kidogo.

Leo ni siku ambayo kila mtanzania mpenda soka na yule ambaye hapendi atakuwa makini kusikia matokeo ya mechi ambayo itachezwa usiku kati ya brazil. na taifa stars.

Mungu ibariki Taifa stars. Ameni!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment