Saturday, June 5, 2010

FERNDINAND KUTOCHEZA KOMBE LA DUNIA


Hapa ni Nahodha wa England akiwa na magongo!!

Nahodha wa England Rio Ferdinand atakosa Kombe la Dunia baada ya kuumia goti katika mazoezi ya mwanzo nchini Afrika Kusini.

Ferdinand amepumzishwa kwa takriban wiki nne mpaka sita ikiwa kano ya goti lake la kushoto limepata jeraha.

Mlinzi wa klabu ya Tottenham Michael Dawson atasafiri siku ya Ijumaa kuziba nafasi ya Ferdinand, huku Steven Gerrard akichukua nafasi yake ya nahodha.


"ndoto zangu zimeyeyuka jamaaani nisaidieni!!!!!!!!!!!!!!!


Kocha wa uingereza Fabio Capello amesema ni habari mbaya kwa wachezaji na mashabiki wa uingereza ila hawana la kufanya.


Habari ndo hiyoooo!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment