Thursday, June 3, 2010

KATA YA PASUA KUONGOZA KWA CHABO.

Wana nyie noma kwa kozi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

Kata ya pasua katika manispaaa ya moshi inahisiwa kuongoza kwa watu kula CHABO au KOZI kitendo ambacho hulaumiwa na wananchi wengi.

Akizungumza na Blog hii ya kitaa kwa ufahamu zaidi, Erick Makyara,mkazi wa pasua, amesema mpaka sasa tayari watu wawili wamekamatwa wakiwa wanakula chabo katika madirisha ya watu.

Chabo au Kozi ni kitendo cha kuchungulia watu wanaofanya mapenzi ndani iwe nyumbani au katika vyumba vya wageni. Mbinu zinazotumika ni kuchungulia kupitia madirishani yaliopo nyuma ya nyumba na kwenye dari kama halijazibwa.

Makyara amesema kamchezo hako hutumiwa sana na vijana na hupenda kutembea na simu zenye kamera ili kupiga picha wakati wakichabo na huku ujenzi wa magorofa (kufanya mapenzi) ukiendelea.

Amesema kwa sasa wananchi wamenzisha masako kwa ajili ya watu kwenye tabia hiyo,pindi watakapokamatwa adhabu ya kwanza watachapwa viboko na kuwataka wananchi kuwa makini kwa tabia hiyo mbaya.

Kitendo hiki kilihusishwa na baadhi ya watu kuwa na mawasiliano na wafanyakazi wa nyumba za wageni kuwaonyesha vyumba vyenye watu. Hata hivyo watu hao huwachaji watu wanopenda kula chabo na kuwapeleka kwenye nyumba hizo.

Tabia hii inahusishwa na utumiaji wa madawa yakulevya "mirungi" inayomfanya mtu kutokulala na kusikia hamu ya tendo la ndoa huku uume wake hutoweka nguvu pindi anapomaliza kutumia madawa hayo na kuhitaji kufanya mapenzi. Hivyo, hulazimika kutafuta watu wanaofanya mapenzi ili apate starter.

Mwananchi jiulize!!!!!!!!!!
1. Unafaidika nini haswa unapochungulia watu wakifanya mapenzi.
2. Mume wa mtu au mke wa mtu uchunguliwe na kupigwa picha ukiwa na mtu si wako na picha kufikishwa kwa muhusika(mke au mume wako)
3. Ukikuta ni ndugu yako (dada,kaka,mama,bibi,mjomba nk;) utafanya nini?
4. Ukikuta ni mpenzi wako utafanya nini.
5. Kama ni mume wako au mtoto wako wa kiume maamuzi gani utachukua
MWISHO; Wapo wanawake wana tabia hii

WANAUME TUNA SHUGHULI KWELI KWELI!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment